Search

497 results for Rehema Matowo :

  1. DPP awafutia mashtaka watuhumiwa watatu wa mauaji Geita

    Mkurugenzi wa mashtaka asema hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

  2. Maofisa tarafa, watendaji kata waonywa uvujishaji siri za Serikali

    Yadaiwa siku hizi ni kawaida kukuta barua za siri kwenye mitandao ya kijamii.

    New Content Item (1)
  3. Serikali kununua helikopta maalumu kutafiti madini

    Helikopta hiyo itafungwa vifaa maalumu vyenye uwezo wa kwenda chini umbali wa kilomita moja na kutafiti kwa kina kiwango cha madini kilichopo ardhini.

  4. Wazazi lawamani kuchukua baiskeli za wanafunzi za msaada

    Baiskeli zinachangia juhudi za Serikali za kuweka mazingira salama, rafiki na wezeshi kwa wasichana walio katika rika balehe ili kuwasaidia kuwahi kufika shuleni

  5. Mbowe akatisha mkutano wake Geita kisa mvua

    Amesema kila kona ya nchi kuna malalamiko bila kujali aina ya shughuli wanazofanya na kusema, utafiti uliofanywa na chama hicho umebaini malalamiko na matatizo mengi ya wananchi yanatokana na...

  6. Uchunguzi safari ya China ya DED wakamilika

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Geita imekamilisha uchunguzi safari ya China aliyokwenda aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi.

  7. Ajiua akimtuhumu mkewe kuzaa na mwanaume mwingine

    Mkazi wa kijiji cha Busaka kata ya Bwanga Wilayani Chato Mkoani Geita, anadaiwa kujiua kwa kujichoma kisu kwa kile kinachodaiwa ni ugomvi wa kifamilia.

  8. Kipindupindu chabisha hodi Geita, watoto wawili wapoteza maisha

    Wananchi chemsheni maji ya kunywa na ya kunawa, tumieni vyoo bora, tumieni maji tiririka na sabuni. Niwasihi walimu, simamieni shule kuhakikisha watoto wanapata maji lakini mnapoona dalili za...

  9. Kilio cha maji chapungua wilayani Nyang’wale

    Vijiji vilivyokuwa na huduma ya maji navyo vimeongezeka kutoka viwili mwaka 2020 hadi 31 mwaka 2024 na kuwezesha wakazi zaidi ya 150,000 kati ya 225,000 wa wilaya hiyo kunufaika na huduma hiyo.

  10. PRIME Adaiwa kumuua mume wa ‘mchepuko’ ili wawe huru

    Upande wa Jamhuri, katika kesi ya mauaji ya Tegemeo Rashid, umebainisha sababu za mauaji hayo kuwa ni ugomvi uliotokana na wivu wa kimapenzi, aliokuwa nao mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo...

Page 1 of 50

Next